Nauza Asali mbichi!

Nauza Asali mbichi!

Ednatha

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2012
Posts
489
Reaction score
666
Habari wanaJF, wadau ninauza asali mbichi ya nyuki wakubwa kutoka Tabora. Imechujwa vizuri tayari kwa matumizi. Bei ni sh.12000/= kwa lita.Kwa wakazi wa Kibaha na Dar es Salaam nitawapelekea nyumbani,ofisini au jirani na maeneo yao.Kwa mawasiliano tuma pm. Karibuni sana.
 
Nimeshakaribia jpili naomba lita moja maana asali ni dawa.
 
Nimeshakaribia jpili naomba lita moja maana asali ni dawa.

Yap mfetere asali ni dawa ya magonjwa mbalimbali na ni chakula kizuri sana chenye virutubisho vinavyohitajika ktk miili ya wanadamu. Hatahivyo asali inatumika katika mambo ya urembo!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom