Nauza asali mbichi

Nauza asali mbichi

pantaleo g

Member
Joined
Aug 16, 2017
Posts
10
Reaction score
0
Nauza asali mbichi 100% pure iliyopimwa tayari,lita 20 nauza 130,000 usafiri ni juu yangu mpaka ulipo itakufikia,ukitaka vipimo vyake ni inbox au wasiliana nami 0756404640/0653854499
 
Bei poa hii,wajasiriamali changamkieni fursa hiyo!
 
Asali!
Watalaam wa tiba ambao ni wajasiliamali wanaoshughulika na asali wangeweza kusaidia jamii kufahamu umuhimu wa zao hili kiafya. Kutangaza upatikanaji wa asali kunapaswa kuwa kipaumbele cha pili katika kuujulisha umma / wahitaji baada ya kubainisha umuhimu wake kiafya.
Historia inaonesha kwamba Misri (Egypt), karne nyingi zilizopita, ilikuwa inahifadhai maiti za mafarao ndani ya asali na miili yao ilikaa muda mrefu bila kuoza. Kwa sasa, madaktari wengi hutumia asali kutibu vidonda vya upasuaji. Je nini matumizi mengine ya asali kitabibu?
 
ni

ni kweli mkuu,japo sio mtabibu ntajaribu kutoa baadhi ya faida zitokanazo na asali
 
Nitashukuru, rafiki.

KINGA YA MWILI (IMMUNE SYSTEM)
-Kinga yako ya mwili itaongezeka mara tatu zaidi ikiwa utatumia mara kwa mara asali na mdalasini kwa pamoja.Utafiti unaonyesha kuwa hazina kubwa ya vitamini(virutubisho),madini pamoja na mchanganyiko wa mdalasini na asali iondoayo magonjwa na kinga itolewayo na chembechembe nyeupe za damu husaidia kuzuia magonjwa pamoja na kuharibu vimelea(virus)na bakteria.

UKOSEFU WA NGUVU ZA KIUME (UHANITHI/IMPOTENCE)
-Asali ina historia ndefu ya kuamsha nguvu ya uume pamoja na kuwa dawa madhubuti ya kuponyesha uhanithi kutokana na uwezo wake kama kiamshaji/chaji.Asali ilipigwa marufuku kwa makasisi katika baadhi ya dini za mashariki za dunia.Watafiti wa kiaustralia waligundua kwamba asali inauwezo wa kupelekea mwili kutoa homoni mbalimbali kama ilivyo mdalasini.
-Katika Afrika na dunia ya kusini mabaharia wamekuwa wakipaka asali katika sehemu zao za nje ya uume ili kuongeza nguvu ya kufanya mapenzi.

SHINIKIZO LA DAMU(H/B/P)
-Shinikizo la damu pamoja na matatizo yaambatanayo na maumivu ya kifua na kizunguzungu yalitoweka kutoka kwa wagonjwa wengi wiki chache tu baada ya upata dozi ya mara kwa mara ya asali iliyochanganywa na mdalasini.

UGONJWA WA MOYO(HEART DISEASE)
-Unaweza kukinga kupata ugonjwa wa moyo na kuzuia mkusanyiko wa mtandao wa mafuta kwenye mishipa ya damu kwa kula asali na mdalasini mara kwa mara kwa kupakaa kama jam wakati wa kula mkate wa ngano wenye nyuzinyuzi nyingi iliyopakwa kijiko 1 cha chakula cha mchanganyiko huo(asali na mdalasini) kila siku

UGUMBA(INFERTILITY)
-Asali inaaminika kuamsha hamu ya mapenzi.Kwa wapenzi. wa jinsia zote wanashauriwa kunywa walau vijiko 2 vya chakula kila siku kabla ya muda wa kulala..Mdalasini imetumika muda mrefu katika dawa za kichina na kihindi kuongeza uwezo wa uzazi kwa akina mama wenye kuhitaji kuzaa

-Changanya mdalasini na kiasi cha asali na kufanya mgando (paste)na upake kwenye fizi na meno na kuacha inyonywe na kuingia mwilini taratibu na hii ni kwa akina mama wasio na sababu za kimsingi za kuwakosesha kuzaa.

MADHARA YA NGOZI(INFECTIONS)

KUPUNGUZA UZITO.

SARATANI(CANCER)

n

Nashukuru na kuamini kwamba jamii itahamasika katika kufuga nyuki kwa ajili ya kupata asali ya kutosha kwa matumizi ya nyumbani na kupata ziada kwa ajili ya kuuza ili kuongeza kipato cha familia.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom