Nauza Asali Mbichi

zegamba180

JF-Expert Member
Oct 8, 2014
818
536
Anayehitaji Asali mbichi ya nyuki wakubwa toka Tabora, Dodoma, Lindi, Singida. Nauza kwa bei ya jumla katika madumu ya 20 lita. Anayehitaji anipm
 
Kiasi gani mkuu ? Kwa lita 20?
Na unaweza kusafirisha? Kuweka kwenye basi
Kutoka Singida?
 
Kiasi gani mkuu ? Kwa lita 20?
Na unaweza kusafirisha? Kuweka kwenye basi
Kutoka Singida?
yaah kwenye basi wanafanya 10,000 kwa dumu. bei yangu ni 180,000. nakupa asali nzuri sana ya mwezi jun - september last year
 
bei inapungua pia. inaviwango vya ubora sahihi. nawe unayo?
Okay Je una number ya Tigo pesa. ?
Ngoja nimtafute mtu wa kwenda stendi kwanza
Halafu tutawasiliana . Kama unayo na hutaki
MTU aione naomba unitumie PM.

Nataka kumtumia bibi kijijini.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom