Nautafuta huu wimbo

mbeyaboyfrancy

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2015
Posts
248
Reaction score
91
Jina la msanii simjui lakin ni kama mlemavu wa ngozi,jinsi unavyoibwa masela wangu ehe sina pamba za kupandia jukwaani nifanye nini au niache fani,mwenye kuujua au ambaye anao anitumie tafadhali
 
TMK Wanaume Family "Anashinda masaki halafu analala Tandika" .

Anaitwa Ras Six - Sina Pamba
 

Attachments

TMK Wanaume Family "Anashinda masaki halafu analala Tandika" .

Anaitwa Ras Six - Sina Pamba
Ebwana ehe heshima kwako bro nimeupata shukrani sana
 

Attachments

  • Screenshot_2016-03-18-22-42-01.png
    40.5 KB · Views: 79
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…