K Kadoone Senior Member Joined Sep 1, 2015 Posts 184 Reaction score 157 Oct 11, 2015 #1 Naungana na act-kwasababu moja tu: Yaliyosemwa na cdm 2008 na kukataliwa na ccm, leo yanasemwa na ccm, na cdm wanayakataa.
Naungana na act-kwasababu moja tu: Yaliyosemwa na cdm 2008 na kukataliwa na ccm, leo yanasemwa na ccm, na cdm wanayakataa.
C christmas JF-Expert Member Joined Jul 21, 2011 Posts 2,701 Reaction score 1,280 Oct 11, 2015 #2 Wasalimie huko, hivi mnafika ata 5 nchi nzima kweli? VIVA UKAWA!!!
Preta JF-Expert Member Joined Nov 28, 2009 Posts 24,320 Reaction score 18,875 Oct 11, 2015 #3 Kwendraaaaaaaa........
A aiai654 JF-Expert Member Joined Apr 11, 2011 Posts 3,857 Reaction score 1,264 Oct 11, 2015 #4 Unaharibu tu kura yako njoo twende na lowassa tumeshamjadili
Carlos Valderrama JF-Expert Member Joined Dec 27, 2014 Posts 664 Reaction score 240 Oct 11, 2015 #5 Umefanya maamuzi magumu safi sana bora komandoo 1 kuliko migambo 50.
Kizimbuzi JF-Expert Member Joined Jul 31, 2013 Posts 1,569 Reaction score 745 Oct 11, 2015 #6 christmas said: Wasalimie huko, hivi mnafika ata 5 nchi nzima kweli? VIVA UKAWA!!! Click to expand... ACT kina bendera nyingi kuliko wanachama
christmas said: Wasalimie huko, hivi mnafika ata 5 nchi nzima kweli? VIVA UKAWA!!! Click to expand... ACT kina bendera nyingi kuliko wanachama
Mukulu wa Bakulu JF-Expert Member Joined Aug 12, 2014 Posts 4,050 Reaction score 12,966 Oct 11, 2015 #7 Sio lazima uwe mwanachama ww chama cha siasa. Lakini pia hata usipokua mwana chadema mume wako au boyfriend wakoatakuwwkilisha kwenye kumchagua Lowassa.
Sio lazima uwe mwanachama ww chama cha siasa. Lakini pia hata usipokua mwana chadema mume wako au boyfriend wakoatakuwwkilisha kwenye kumchagua Lowassa.
BARNABAS12 Member Joined Sep 9, 2015 Posts 13 Reaction score 0 Oct 11, 2015 #8 nenda ha chauma ukupenda ila mabadiliko ni lazima
Mkwere Sumbawanga JF-Expert Member Joined Sep 28, 2015 Posts 744 Reaction score 660 Oct 11, 2015 #9 Kadoone said: Naungana na act-kwasababu moja tu: Yaliyosemwa na cdm 2008 na kukataliwa na ccm, leo yanasemwa na ccm, na cdm wanayakataa. Click to expand... wapigie simu waambie unataka kujiunga nao sasa sisi ukituambia tukusaidiaje shida zako hizo za kuhama hama
Kadoone said: Naungana na act-kwasababu moja tu: Yaliyosemwa na cdm 2008 na kukataliwa na ccm, leo yanasemwa na ccm, na cdm wanayakataa. Click to expand... wapigie simu waambie unataka kujiunga nao sasa sisi ukituambia tukusaidiaje shida zako hizo za kuhama hama
lucky sabasaba JF-Expert Member Joined Nov 6, 2012 Posts 1,656 Reaction score 1,205 Oct 11, 2015 #10 Nenda,mgombea wenu wa uraisi anaitwa nani ??
Lukansola JF-Expert Member Joined Sep 5, 2010 Posts 5,435 Reaction score 1,611 Oct 11, 2015 #11 Kafie mbele
Kennedy Platinum Member Joined Dec 28, 2011 Posts 59,095 Reaction score 69,539 Oct 11, 2015 #12 Utahangaika Sana Na Hicho Mnachoita Team Mawese Lakini Mabadiliko Hayakwepeki Oktoba 25 Karibu Ikulu Lowassa Akiwa Anahutubia Taifa
Utahangaika Sana Na Hicho Mnachoita Team Mawese Lakini Mabadiliko Hayakwepeki Oktoba 25 Karibu Ikulu Lowassa Akiwa Anahutubia Taifa
2025 Member Joined Jan 17, 2015 Posts 64 Reaction score 12 Oct 11, 2015 #13 Nenda tuu hata TLP.wapo pouwa sana na sera zao zinaelewekaa
General Mangi JF-Expert Member Joined Dec 21, 2013 Posts 15,316 Reaction score 23,178 Oct 11, 2015 #14 Kadoone said: Naungana na act-kwasababu moja tu: Yaliyosemwa na cdm 2008 na kukataliwa na ccm, leo yanasemwa na ccm, na cdm wanayakataa. Click to expand... hivi hicho chama bado kipooo??
Kadoone said: Naungana na act-kwasababu moja tu: Yaliyosemwa na cdm 2008 na kukataliwa na ccm, leo yanasemwa na ccm, na cdm wanayakataa. Click to expand... hivi hicho chama bado kipooo??
Madrid86 JF-Expert Member Joined Jul 12, 2015 Posts 1,328 Reaction score 692 Oct 11, 2015 #15 Pita hivi..
The Businessman JF-Expert Member Joined Jan 9, 2014 Posts 7,397 Reaction score 9,263 Oct 11, 2015 #16 Vahungilage.
ChaterMaster JF-Expert Member Joined Aug 17, 2009 Posts 1,623 Reaction score 808 Oct 11, 2015 #17 Kizimbuzi said: ACT kina bendera nyingi kuliko wanachama Click to expand... Hahahaaaaaa.... Sure Mkuu sijui ndo Slogan yao hiii...
Kizimbuzi said: ACT kina bendera nyingi kuliko wanachama Click to expand... Hahahaaaaaa.... Sure Mkuu sijui ndo Slogan yao hiii...
A Abel Ndundulu JF-Expert Member Joined Sep 17, 2015 Posts 847 Reaction score 389 Oct 11, 2015 #18 Kadoone said: Naungana na act-kwasababu moja tu: Yaliyosemwa na cdm 2008 na kukataliwa na ccm, leo yanasemwa na ccm, na cdm wanayakataa. Click to expand... Naona utakuwa umelogwa wewe!
Kadoone said: Naungana na act-kwasababu moja tu: Yaliyosemwa na cdm 2008 na kukataliwa na ccm, leo yanasemwa na ccm, na cdm wanayakataa. Click to expand... Naona utakuwa umelogwa wewe!
Ibada ya kwanza JF-Expert Member Joined Mar 21, 2013 Posts 3,282 Reaction score 1,810 Oct 11, 2015 #19 Act mwandiga.msalimie mfalme ayatola
T The Elephant JF-Expert Member Joined Dec 18, 2014 Posts 4,356 Reaction score 4,654 Oct 11, 2015 #20 Kadoone said: Naungana na act-kwasababu moja tu: Yaliyosemwa na cdm 2008 na kukataliwa na ccm, leo yanasemwa na ccm, na cdm wanayakataa. Click to expand... si ungeenda ccm?
Kadoone said: Naungana na act-kwasababu moja tu: Yaliyosemwa na cdm 2008 na kukataliwa na ccm, leo yanasemwa na ccm, na cdm wanayakataa. Click to expand... si ungeenda ccm?