pet geo pet
JF-Expert Member
- Jun 30, 2018
- 518
- 815
Nimepewa Jana kidoge kimoja 1000 ndo natumia sshv...labda unazijua dawa gan za allergy nikanunueUmekunywa dawa za allergy..??
1. Kikohozi cha muda mrefu, wiki 2 kuendelea.Tupe dalili za tb watu tufaidike
1. Kikohozi cha muda mrefu, wiki 2 kuendelea.
2. Kutoka jasho usiku, wakati umelala.
3. Kupungua uzito.
4. Kukosa hamu ya kula.
Karibu..Naomba noje pm
Vidonge gani???Nimepewa Jana kidoge kimoja 1000 ndo natumia sshv...labda unazijua dawa gan za allergy nikanunue
Sina ukimwi..na nmepima hata juzi mkuuKapime hiv
Angalia hapa chini picha nmekutumiaVidonge gani???
Dalili ya kwanza tu ndo nnayo lakn zingine hamna1. Kikohozi cha muda mrefu, wiki 2 kuendelea.
2. Kutoka jasho usiku, wakati umelala...
Hapana kaka...Hyo Corona kaka..
Kuzipata hizo karafuu huku kwetu bara ndio mtihaniKunywa dawa za minyoo,ikishindikana tafuna karafuu mara kwa mara