Naulizia bei mashine za kufyatulia matofali

Naulizia bei mashine za kufyatulia matofali

Alymah

New Member
Joined
Jul 3, 2012
Posts
3
Reaction score
0
Habari ndugu zangu nilikua naomba msaada wa kujua bei za mashine za kufyatulia matofali. Ya aina zote ya kuchoma na kawaida ikiwezekana na mahali zinapopatikana. Asante
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom