Nauliza swali tu niambieni

Kuongeza mke ni maamuzi ya mtu na uwezo wake usiogope hilo siyo wanaume wote watakaoongeza wake, badili dini uolewe na mwislamu
Sahihi kabisa, furaha ikija Leo ifurahie usiogope kitu usichokijua kitakuja au hakiji, Ukakosa furaha kwa usichokijua.
 
We umetupiwa mapepo sio bure na babako alipoteza bao lake bure kabisa kuzaa binti mwenye akili finyu kama wewe, kuacha ukristo kwenda uislam ni sawa na kuruka mkojo kukanyaga mavi
 
KESHATUPIWA PEPO HUYO AU MAJINI YA KIISLAM, ASIWASUMBUE HUYU KILAZA WA KIKE, WALOKOLE AU WAKRISTO HATUNA WATUNA WATU WA SAMPULI HII
 
πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£ Huyu mshangaz umechanganyikiwa kitambo sana hivi unaelewaga thread au comment zake? Kama umeielewa hii thread nitafsirie please mimi macho yananiuma 🀐😸
Dipresheni hiyo… 😹😹😹
 

Unatafuta ndoa, kama hujauelewa Ukristo hakuna shida
 
Tatizo lako ni uongo.....we si ulisema ulifunga ndoa na yule Kileo muislam?mara umegeuka mlokole mara unataka uislam hebu tuliza wenge mrembo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…