SweetyCandy
JF-Expert Member
- Sep 17, 2022
- 5,181
- 9,796
Hujui unachokitakaMimi nimkristo all in all kunakipindi na kipindi muazini akiazini na hamu ya kwenda kujumuika nao nakusali . Na asilimia kubwa wanaume wa kislaam wananipendaga , sana. Wengi hutamka ndoa . Wakristo asilimia 10 ndio wanajilazimisha,.
Mie mwenyewe sana napenda kuvaa mahijab yale yakung'aa na kutariziwa nakshi nakshi nilisema nikishika ndoa yangu nakuwa na vaa hayo mahijab .
Halafu napendaga vitu vingi vya waislam shida huwa nakaa kwetu ukristoni ni hii yakuongeza wanawake inanikatisha tamaa ila ukweli ndio huo nawasilisha.
Sasa je kwanini nakuwa kwenye hali hiyo namie ni mlokole ??
Allah Akbar...Takbir.....
KWA muislamu ni rahisi kuoa coz ana nafasi 4 hata akikosea ana nafasi ya kurekebisha makaosa take sasa wakristo nafasi ni moja unataka Nani akutamkie ndoa kirahisi rahisiMimi nimkristo all in all kunakipindi na kipindi muazini akiazini na hamu ya kwenda kujumuika nao nakusali . Na asilimia kubwa wanaume wa kislaam wananipendaga , sana. Wengi hutamka ndoa . Wakristo asilimia 10 ndio wanajilazimisha,.
Mie mwenyewe sana napenda kuvaa mahijab yale yakung'aa na kutariziwa nakshi nakshi nilisema nikishika ndoa yangu nakuwa na vaa hayo mahijab .
Halafu napendaga vitu vingi vya waislam shida huwa nakaa kwetu ukristoni ni hii yakuongeza wanawake inanikatisha tamaa ila ukweli ndio huo nawasilisha.
Sasa je kwanini nakuwa kwenye hali hiyo namie ni mlokole ??
Una undugu na Shekhe Mwaipopo?Sasa je kwanini nakuwa kwenye hali hiyo namie ni mlokole ??
Yote umeongea kweli lkn jua chunguza sana si Kila kitu utakijua, na Kuna mengine yapo ndani ya nafasi hata ukichunguza hupati chochote, hapo ndo huwa tunamshirikisha Allah ambaye anajua tuliyouaficha mioyoni mwetu, kama vile usivyojua ukipanda gar Hilo litapat ajali Allah anajua, hapo tunamuomba na kumshirikisha Katika Yale tusioyajua, mwanadamu hakuna anachojua Bali hujitahd kwa upeo na Elimu yake kukwepa majanga lakn Allah anajua Zaid.Kiukweli mim nimekuelewa tuu, tena sana tuu.. ushauri wangu Kaa chini jitafakari kwa kina wew ni nani hapa duniani na unafikir wajibu wako ni nin? Hicho kilichopo kwenye mawazo yako ni ubongo ndio unajitengenezea..
Dunia inaendeshwa na vibration, vile vitu ambavyo huwa unaviwaza sana na kuvifikiria ndivyo huwa Dunia inakupatia kila wakati!! Hapo mpenz wako either wa Kwanza au watu ulio nao karibu Kama marafiki na washkaji zako wengi huwa ni Waislamu na watu wanaopenda dini hio.
Pia uwepo wa msikiti karibu yako ndio jambo lingine linalokushawishi zaidi maan kila siku ndo mazingira yanayokuzunguka!
Ukitaka mtu wa Ndoa ni Muhimu ukizingatia character ya mtu Jinsi anavyoishi Wala si kuangalia dini yake... Si wote unaowaona wanadini kwamba atakupenda na wewe! Angalia mtu kwa mchunguza, uliza marafiki zake majirani zake, na upate full detail ya mtu.
Unapohitaji mtu wa kukuoa ondoa neno Mapenzi, weka neno vigezo vya kitabia.. usiolewe kwasababu umependa, olewa kwasababu anavigezo vinavyostahili wew kuishi nae.
A) Je! Anatabia gani ambazo we huzijui?
B) Je! Kwao wanao oa wanaishi na wake zao
C) Je! Tabia za kabila lao ni zipi?
D) Je! Ana ndugu au jamaa anaehusishwa na ujambaz au kuwekwa gerezani kwa makosa kadhaa
E) Je! Ni magonjwa gani ya kurithi wanayo Kama familia
F) Je! Akikasirika anawezaje kukontroll anger yake? Anakuaje kiujumla
G) Je! Anapenda kuwa na Familia, au anahitaji kuwa na sehemu ya starehe tu
I) Je! Kakupenda au kakutamani?
Ni kweli ni Muhimu kushiriki na MUNGU kwenye kutafuta kwako! Lakin Usikae tu bila kuchunguza ukitegemea MUNGU akuchunguzie halafu akuletee majibu!! Haitakaa itokee, ukichukua hatua utajua meengi sanYote umeongea kweli lkn jua chunguza sana si Kila kitu utakijua, na Kuna mengine yapo ndani ya nafasi hata ukichunguza hupati chochote, hapo ndo huwa tunamshirikisha Allah ambaye anajua tuliyouaficha mioyoni mwetu, kama vile usivyojua ukipanda gar Hilo litapat ajali Allah anajua, hapo tunamuomba na kumshirikisha Katika Yale tusioyajua, mwanadamu hakuna anachojua Bali hujitahd kwa upeo na Elimu yake kukwepa majanga lakn Allah anajua Zaid.