ushasoma post zote? Hasa jukwaa la dini unayo access kule?
Ni kweli jukwaa ni la wakristo.nashangaa bado unafanya nini humu?
thax uporotooMkuu ukiona thread au post inayodhalilisha mtu/dini/kabila kuna kitufe hapo juu kimeandikwa REPORT ABUSE kwa rangi nyekundu bonyenza na uwajulishe Mods na utaona wataifanyia kazi.Wewe mimi na kila mpenda haki achangie kuifanya JF iwe sehemu nzuri zaidi.