hizi flat TV screen zinatofautana bei kutokana na model...kama ni LCD ama PLASMA na pia ni series ipi,the latest series zina concetration ya pixels na added features kama radio,usb /keyboard port na HDMI feature.kwa size ya 42" bei zinaanzia milioni na kitu hadi milioni 7 na laki kadhaa