Nauli ya kwenda Marekani

ningependa kujua suala la visa ya USA nikiwa nchini maana kuna nchi nilikaa nikaomba visa ikawa kipengele sana
mara salary certificate, bank statement ningeomba kufahamishwa kuusu muktadha mzima wa visa cc Sky Eclat
Niulize ya Buza kwa Mpagale nitakujibu.
 
Mwaka 2019 nilienda marekani,nakumbuka nauli ya go and return mpaka jf kennedy newyork nililipa dola 2500 kama milioni sita hivi.Marekani kuzuri bana ila kama unataka kusave cost tafuta wabongo kule wapo wengi wanaweza kukusaidia
 
Mwaka 2019 nilienda marekani,nakumbuka nauli ya go and return mpaka jf kennedy newyork nililipa dola 2500 kama milioni sita hivi.Marekani kuzuri bana ila kama unataka kusave cost tafuta wabongo kule wapo wengi wanaweza kukusaidia
Shida sio nauli,tatizo lipo kwenye Visa
 
Mwaka 2012 nilibahatika kwenda Usa holiday kwa kweli nilisave kama 5m tsh na zilinitosha kabisa na change ikabaki na na nilipanda BA tiketi iilikua usd 1700 kupitia dsm london Chicago to Kansas then return Nyc london dsm
Wakuu, kwa sasa nauli ya ndege Dar to London bei gani, makadirio
 
Wakuu dar to turkiye how much mwezi ujao nataka nikajishape pua
 
Samahan waungwana naomba kuuliza, hivi nauli ya kwenda U.S.A ni Tsh ngapi na taratibu zao zinakuaje? Nataka nikasafishe macho kidogo likizo yangu
Madam, sorry nilikuwa natamani kwenda kuanzisha Maisha Yangu Marekani, na jee Ni sehemu ipi nzuli ambayo nitaweza kupata Kazi yoyote hile kilahisi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ