Nauli ya kwenda Marekani

Porojo tuuu nauli hakuna, aaargh
 
Ufafanuzi mzuri kabisa usio na chembe ya uchoyo.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ngoja nijipange december niende US kuenjoy life.
 
Ngoja nijipange december niende US kuenjoy life.
We umeshapigwa marufuku kutia pua lako huko,rais wako wa mkoa ambaye pia ndiye naibu rais amepigwa stop itakuwa wewe? We jipangepange uje Accra ntakupokea,uwe na hela lakini,na hela zikikuishia sitakuomba uondoke,utaondoka tu mwenyewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duh!wacha niseme ninakufa sio tunakufa maana kwa mawazo yangu ya kimasikini hiyo 20m nimeisha peleka penye msingi na tofali chache za kupandishia msingi ndugu mwambie jamaa kila la kheri.
20m nakupandishia Hadi linta 3bedrm
 
Vipi kuhusu upatikanaji wa watoto wazuri coloured pia gharama zao zimekaaje?
Kama uko na pesa haswa sio ile ya kuotea leo unayo kesho hauna, kama pesa unayo wazungu unawapata tu,
Kama huna wanakuona kama nyani tu
 
ningependa kujua suala la visa ya USA nikiwa nchini maana kuna nchi nilikaa nikaomba visa ikawa kipengele sana
mara salary certificate, bank statement ningeomba kufahamishwa kuusu muktadha mzima wa visa cc Sky Eclat
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…