Nauli ya kwenda Marekani

Samahan waungwana naomba kuuliza, hivi nauli ya kwenda U.S.A ni Tsh ngapi na taratibu zao zinakuaje? Nataka nikasafishe macho kidogo likizo yangu
USA yanini wakati kuna ARUSHA?

....chief Chugga has Eeeverything that ll satisfy ua eyes n mind. Come on [emoji108]
 
USA baby.....

Huwezi kuichukia USA hata kidogo.

Kama unaangaliaga CNN.....unakunywa Pepsi na Coca-Cola.....unapenda bidhaa za Victoria's Secret.....unapenda kula baga....unapenda kufuatilia umbea wa Marekani wa akina Jay-Z...Weezy F Baby....Birdman....The Breakfast Club.....unaipenda familia ya Obama....unapenda hip-hop na R & B....na kadhalika na kadhalika....basi nawe unaipenda tu USA.

Na kama ukilisoma bandiko hili na kusonya huku unatokwa povu kama la Tide laundry detergent ndani ya washing machine basi nakushauri ukatafute kiwembe ushevu kikwapa hicho kwani vinywele nywele usikute vishaanza kuota.

Ila nashauri utumie kiwembe cha Gillette na shaving foam ya Gillette pia....teh teh teh...

USA baby......haya Jumatatu asubuhi hii....kapigeni mswaki mnywe chai na haf keki zenu mwende mkafanye kazi.

USA baby...........
 
Vipi kuhusu upatikanaji wa watoto wazuri coloured pia gharama zao zimekaaje?
 
Baambie batoto ba bongo baelewe.
 
Nashukuru sana kesie. Inaonekana kwamba wewe ni mwenyeji sana pande hizo
 
I have collected flight cost data from across the web for travel from Dar Es Salaam to Washington, and have found the average flight price for this trip to be TZS 6,369,684
is it for go and return ticket???
 
I have collected flight cost data from across the web for travel from Dar Es Salaam to Washington, and have found the average flight price for this trip to be TZS 6,369,684
jamaa kauliza nauli ya kwenda u.s.a ...but ww umemtajia ya washngton
 
mamtoni ntakuja tu mtu wangu ngoja niendelee ku-save hadi mil 15 hivi,Chicago hii hapa...na sirudi hadi wanirudishe wenyewe kudadeki wakinipa visa tuu,wameingia mkenge..
marekani ni habari nyingine,bongo sio tunaishi kama midoli bwana..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…