Nguvu82, point ya kukumbuka ni kuwa nauli ya ndege haiko fixed kama bus, yaani ukifanya booking mapema nauli inakuwa chini, kadiri tarehe ya safari inavyo karibia ndio nauli inazidi kupanda, cheapest way ni kupitia websites za airline zinazo fly kati Dubai na hapo ulipo lakini malipo ni kwa credit au debit card, utakuwa umesave kama $ 50 ya service fee ya travel agent, ila kuna disadvantages zake pia..