Mkuu, Fastjet iko fully booked hadi january tarehe 6, 2013!!..so tumia shirika jingine au usafiri wa aina nyingine...lakini nauli ni app.38,000(VAT exclusv).
Mkuu, Fastjet iko fully booked hadi january tarehe 6, 2013!!..so tumia shirika jingine au usaciri wa aina nyingine...lakini nauli ni app.38,000(VAT exclusv).
Gharama ni Shs 32000 na sio 38000. Hiyo ni VAT exclusive.
Pamoja na VAT inakuwa 43040. Na hii ni gharama ya safari moja tu ya kwenda (One way fare)
Return ni double the amount.
Ila itategemea kama utapata hiyo fare kwenda na kurudi.
Mind you that baggage/luggage unalipia. Kilo 20 wanacharge 8000 na kwa kila kilo itakayozidi afta hizo 20 kgs watacharge elfu nane. Let's say kama mzigo wako ni kilo 30 utalipia kama ifuatavyo:
20kg - 8000
10kg - 80000
Jumla ni 8000+80000 sawa 88000 shs.
Hiyo ni bei ya mzigo peke yake.
You can do the booking online. Its fast easy and reliable but once you are successful to do the booking you have to ticket in 24 hours.
Nauli ya fastjet kama ukiwahi miezi minne mbele ni Tshs 67,000.
Hapo na VAT ikiwa included.
Ukiwa na mamizigo kama unahama, lazima uyalipie.
Lakini ukiwa na mzigo mdogo unasafiri bila mashida yoyote.