Nauli ya Daladala za M/Complex-Chanika

Nauli ya Daladala za M/Complex-Chanika

  • Thread starter Thread starter Anonymous
  • Start date Start date
A

Anonymous

Guest
Magali (mini bus) yanayobeba abiria kutokea Machinga complex kuelekea Chanika, yamekuwa yakipandisha nauli kiholela, ambapo nauli halisi ni 1300Tsh wao wamekua wakitoza 1900 mpaka 2000 kwani huanza kupakia abiria Karume, Wanajaza ndio wanaingia stand Machinga complex.

Hii imekua kero LATRA iliangalie hili jambo, tafsiri nauli imekuwa mtu akihitaji gari kuelekea Chanika inabidi aende Karume ambapo atalipa 1900 au 2000. Then gari ndio itapita Machinga complex kupokea abiria hivyo basi Kuna kuwa na Nauli 2 kutoka Chanika kwenda Kariakoo
 
Karume sio mwanzo wa safari, kisheria unatakiwa kulipa nauli ya Karume kwenda M/Complex..
 
Pia Karume si stendi kuu kusubiria abiria waje wapande magari ili wageuke nayo kwa nauli kubwa ilihali kuna rundo la abiria stendi kuu ya Machinga Complex wakisubiri kwa muda mrefu magari yaliyopaswa kushusha abiria muda mchache tu na kuondoka stendi ndogo ya Karume kuelekea stendi kuu ya Machinga Complex.

Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
 
Hapa kuna mambo mengi mkuu, hii changamoto inasababishwa na wote abiria na makondakta.. kwasababu kama abiria wasingeenda pale kugeuka nayo wasingekuwa na option zaidi ya kuanzia mwanzo wa safari.

Changamoto nyingine kuna wamama, wazee, wenye watoto/ujauzito na wagonjwa ambao wanajua msuli wa gombania goli hawana, na wanajua kupata ubinadamu wa kupewa kipaumbe kwenye kupata siti hamna, wanageuka nayo.

Ubinadamu tulishatupa hasa watu tusiofahamiana nao, kila mtu anajiangalia mwenyewe.
 
Ubinadamu tulishatupa hasa watu tusiofahamiana nao, kila mtu anajiangalia mwenyewe.aga

Hapa kuna mambo mengi mkuu, hii changamoto inasababishwa na wote abiria na makondakta.. kwasababu kama abiria wasingeenda pale kugeuka nayo wasingekuwa na option zaidi ya kuanzia mwanzo wa safari.

Changamoto nyingine kuna wamama, wazee, wenye watoto/ujauzito na wagonjwa ambao wanajua msuli wa gombania goli hawana, na wanajua kupata ubinadamu wa kupewa kipaumbe kwenye kupata siti hamna, wanageuka nayo.

Ubinadamu tulishatupa hasa watu tusiofahamiana nao, kila mtu anajiangalia mwenyewe.
Si kweli, magari ni mengi sana sema tu wewe ndiwe unashindwa kuelewa kuwa abiria husubiri weee na kukata tamaa kisha hujiongeza kwenda kupandia huko huko Karume stendi ndogo.

Dawa waanzishe utaratibu wa kupanga foleni kama wanavyofanya abiria wa Mbezi kwenda makabe au Msumi,daladala likifika mwisho abiria wote shuka wanaanza kuingia waliopo kwenye foleni kupanga ni kuchagua
 
Pia Karume si stendi kuu kusubiria abiria waje wapande magari ili wageuke nayo kwa nauli kubwa ilihali kuna rundo la abiria stendi kuu ya Machinga Complex wakisubiri kwa muda mrefu magari yaliyopaswa kushusha abiria muda mchache tu na kuondoka stendi ndogo ya Karume kuelekea stendi kuu ya Machinga Complex.

Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
Hivi sikuna yale ya mbezi chanika?,au unazunguka sana
 
Magali (mini bus) yanayobeba abiria kutokea Machinga complex kuelekea Chanika, yamekuwa yakipandisha nauli kiholela, ambapo nauli halisi ni 1300Tsh wao wamekua wakitoza 1900 mpaka 2000 kwani huanza kupakia abiria Karume, Wanajaza ndio wanaingia stand Machinga complex.

Hii imekua kero LATRA iliangalie hili jambo, tafsiri nauli imekuwa mtu akihitaji gari kuelekea Chanika inabidi aende Karume ambapo atalipa 1900 au 2000. Then gari ndio itapita Machinga complex kupokea abiria hivyo basi Kuna kuwa na Nauli 2 kutoka Chanika kwenda Kariakoo
Homboza- complex poleni sana

Lakini kimsingi tatizo hili ni karibia kila route ya hapo kariakoo ndo vitu wanavyo fanya ikiwa inaingia jioni. Wanaanza kupakia nyuma ya kituo kwa bei juu na kujaza. Mamlaka kwa lugha rahisi zitakua zimebariki
 
Si kweli, magari ni mengi sana sema tu wewe ndiwe unashindwa kuelewa kuwa abiria husubiri weee na kukata tamaa kisha hujiongeza kwenda kupandia huko huko Karume stendi ndogo.

Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.

Dar hii sidhani kama kuna sehemu daladala zinatosha muda watu wanaenda na kurudi makazini(asubuhi na jioni).

Ingekuwa mengi sana kama usemavyo wasingeyasubiri mpaka kukata tamaa, supply ya huduma ingezidi uhitaji.
 
Nenda Tabata Segerea stendi kuu tu urudi na ushuhuda hapa, pia daladala haziwezi kuwa chache muda wote.

Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
 
Kinaitwa Kiduara hiko! Latra wenyewe wanakijua. Unalipa mia sita toka Karume mpaka Machinga Complex. Then gari inapakia tena kuanzia hapo kwenda Chanika. Ukiona shida kulipa 1900 subir pale Machinga gari zinakuja mkuu.
Shida ya hii ni sababu hatuna mifumo ya udhibiti wa abiria wawapo vituoni. Hata mwendokasi stendi ya gerezani ndani gari la mbezi likifika wanakimbilia kama mbuzi wanasagwa kwenda zizini.
 
Back
Top Bottom