Nauli ya daladala kushuka

Nauli ya daladala kushuka

nguvu82

Member
Joined
May 28, 2014
Posts
37
Reaction score
13
hi wana JF, hivi karibuni nilimsikia waziri wa nishati na madini akiongea kwenye TV kupitia taarifa ya habari ya ITV saa mbili usiku akisema kuwa bei ya mafuta imeshuka chini ivo anaagiza Tanesco kushusha bei ya umeme na kuagiza pia Sumatra kushusha nauli ya daladala na magari yaendayo mikoani ili na sisi wananchi tupate nafuu ya ushukaji bei ya mafutai, mpaka sasa Tanasco wameshusha nauli kwa shilingi nane ila hawa Sumatra sijui wamegoma ama vipi? na waziri ametoa kauli hatujaona kama anafatilia hili liweze kutekelezwa, tunamuomba tena atupe mrejesho kitu gani kinasuburiwa hapa, kuna siku tena nimemsikia afisa wa sumatra akisema spare za magari zimepanda juu ivo wanafidia kwenye kushuka bei ya mufuta nikavunja moyo na kukosa matumaini.

kama Sumatra wanapita humu tunaomba mrejesho wa nauli kushaka kuanzia tarehe moja.
 
vip mkuu TANesco wameshusha nauli ya umeme ama
 
Kama unavyo fahamu saa ivi Tz ni mwendo wa matamko- baada ya TABOA kuomba nauli zishushwe, wao (SUMATRA) waligoma kuwa nauli za mikoani na daladala (Hiace) hazitashuka.
 
Angekuwa Prof. Muhongo hasingetoa tamko kama ilo
 
Back
Top Bottom