Nauli motepuez...

Maisha yalikuwa duni kwa sababu ya vita ya muda mrefu. Magofu yaliyo karabatiwa kutokana na vita dalili bado zipo.

Kuingilia Mtwara au Ruvuma kwenda Maputo ni mbali sana,askari wasumbufu pia mabaki ya Renamo bado yapo.

Ni bora upitie Zimbabwe au SA, kupitia Malawi bado kuna usumbufu.

Hali ya hewa bado ni nzuri sana,nchi ina natural vegetation kabisa.
 
Mimi bara zote za kusini za kuitafuta Tanzania kutokea SA hakuna ambayo sijapita sikutaka kusimuliwa nikiangalia Km ngapi basi naamua nitoke na N 3 ndio Mozambique, N 1 Zimbabwe,N 4 naitafuta Botswana,Zambia Bongo...na N 2 ukipitia Namibia...
 
OK Mkuu,kusimuliwa imesitishwa rasmi.
Mimi bara zote za kusini za kuitafuta Tanzania kutokea SA hakuna ambayo sijapita sikutaka kusimuliwa nikiangalia Km ngapi basi naamua nitoke na N 3 ndio Mozambique, N 1 Zimbabwe,N 4 naitafuta Botswana,Zambia Bongo...na N 2 ukipitia Namibia...
 
Amigo kwintu tee,Kwintu nontee nowee Amigo.
 
Hakuna bus za moja Kwa moja toka montepuez to Maputo Au pemba to Maputo Kwa sasa.ipo nampula to Maputo bei ni 3900 medicaid.
Namin wote wazima....naomba mnjuze nauli bei gan kutoka motepuez au Pemba cabudelgaldo haadi Maputo...
... Kweli itakua zaidi ya 3000 meticals??
 
Kwahiyo Kama Uko pemba kwenda nampula nauli Saiv 1000.kama Uko montepuez kwenda nampula nauli 800
Namin wote wazima....naomba mnjuze nauli bei gan kutoka motepuez au Pemba cabudelgaldo haadi Maputo...
... Kweli itakua zaidi ya 3000 meticals??
 
Ihivi temporary passport inaingia harare???? Au nilazma uwe ile passport kubwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…