Relax... 50K ni Pesa ya Kitanzania sio ya Kikenya a Hiyo ni Nauli tu inaishaa .
Jifanye boyaaa, Muhuni atamla ndioo siku zitaendaa weee
Atakutafuta Upya .... Kwakua ni mkosaji ,, atatanguliza njaa ya Hela ,Kisha atakuambia anakuja umpe mkononi akijua utamla
Kubali kama Kawa.
Akija mmezee Sildenafil 100mg ....... MSUGUE MPAKA AOMBE KUONDOKA MWENYEWE .
eeehhh Si kakufanyia Unyama?.