hahahahacustomer care: NAULI ULIYOTUMA UMEPIGWA
Relax... 50K ni Pesa ya Kitanzania sio ya Kikenya a Hiyo ni Nauli tu inaishaa .usiseme hivyo mkuu nasikia joto linapanda mkuu...
Mimi huwa namwambia kama unatoka dar ..mimi siwezi kosa mtu yuko na ma bus namwambia au kumpa namba kuwa akifika stand amcheki huyo mshikaji aje nae kisha nitamalizana na mshikajiHabari za jumapili natumaini mpo wazima kabisa baada ya ibada sasa ni muda wa kumpa Kaisari yalio yake...
Kwanza kabisa nitangulize samahani nikiwa kama mwanachama wa rank ya juu kabisa wa chama cha wanaume bahili Tanzania siku ya ijumaa nilikengeuka ikapelekea kukiuka miiko ya chama chetu na kutuma nauli ya Tanga mpaka jijini hapa upande wa kaskazini..
Nasikitika kusema nauli imeliwa na simu imezimwa tokea siku ya jana hata leo.
Ukweli haikuwa pisi ngeni ndo kilicho pelekea kuamini na kufikia hatua ya kutuma nauli. Mtoto tulikuwa pamoja na nimeshafaidi utelezi zaidi ya mara tano kwa bahati mbaya miezi miwili nyuma aliondoka hapa jijini kurudi nyumbani kwao huko TA.
Siku moja baada ya kufika kwako mahusiano yaliingia dosari mana kama mnavyojua fimbo ya mbali..............Basi baada ya kutowasiliana kwa kipindi wiki jana mtoto akanitafuta akanambia ameshakaa nyumbani vya kutosha hivyo anatamani kurudi jijini mana kweli amezikumbuka show za kibabe ila changamoto ni nauli.
Bassi sababu cash haikuwa mzozo kwa kipindi hiki chap nikamsukumia mtonyo 50k kwa mpesa mtoto akanijulisha amepata na anaanza maandalizi ya safari ambayo ilikuwa iwe j mosi siku ya jana kweli jana kukakucha vizuri mtoto akanicheki mapema asubuhi tayari yupo kwa gari nikasema ewaaaah.
Nikamcheki badae mchana akaniambia yupo maeneo yani nusu ya safari japo amechoka sana hivyo simu anaweka kwenye begi kuhofia kusinzia anaweza akaibiwa hivyo atanicheki akikaribia.[emoji2955]na haya ndo yalikuwa mawasiliano ya mwisho.
Ilipofika jion kupiga simu nasikia sauti ya customer care: NAULI ULIYOTUMA UMEPIGWA. na ndo jibu nililopewa tena asubuhi ya Leo [emoji51][emoji51][emoji51]
Kinacho niuma sio nauli ni vipi kama nitakuwa nimemsafirishia muhuni mwingine kitoweo...???nikiwaza hili stimu za bia zinakata. Ngoja nijaribu Kvant.[emoji25][emoji25][emoji25]
:Angalizo kwa wahuni usitume nauli hata kama unamjua...
Hii ni dawa auSildenafil 100mg .......
eeehhh Si kakufanyia Unyama?.
shukrani mkuu ngoja niweke mkakati najua ataninicheki na vijisababu vya kizembe mimi sipanic. unaweza kuta amepeleka huko mana jamaa anakula juu juu na mimi huwa nakula kwa kulamba sahani..Relax... 50K ni Pesa ya Kitanzania sio ya Keatamla Hiyo ni Nauli tu inaishaa .
Jifanye boyaaa, Muhuni atamla ndioo siku zitaendaa weee
Atakutafuta Upya .... Kwakua ni mkosaji ,, atatanguliza njaa ya Hela ,Kisha atakuambia anakuja umpe mkononi akijua utamla
Kubali kama Kawa.
Akija mmezee Sildenafil 100mg ....... MSUGUE MPAKA AOMBE KUONDOKA MWENYEWE .
eeehhh Si kakufanyia Unyama?.
Umenena, show kali nauli tunatoa wenyewe.Mkuu itakuwa huna show za kibabe.
Pole lakini.
Viagra hiyo... Mkongo wa wazunguHii ni dawa au
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Umenena, show kali nauli tunatoa wenyewe.
Dawa ila usiitumie bila kunichek usije KufaHii ni dawa au
Basi Tulia, endelea kulamba Asali.shukrani mkuu ngoja niweke mkakati najua ataninicheki na vijisababu vya kizembe mimi sipanic. unaweza kuta amepeleka huko mana jamaa anakula juu juu na mimi huwa nakula kwa kulamba sahani..