fyegu Member Joined Oct 17, 2017 Posts 74 Reaction score 115 Apr 8, 2022 #1 Habari wanajf! Kuna kampuni inaitwa natural extracts limited ipo Moshi wanadeal na masuala ya vanilla na cocoa naomba kuuliza internship zake wanalipaje na Kuna benefits zozote wanatoa?
Habari wanajf! Kuna kampuni inaitwa natural extracts limited ipo Moshi wanadeal na masuala ya vanilla na cocoa naomba kuuliza internship zake wanalipaje na Kuna benefits zozote wanatoa?
K kyanyangwe JF-Expert Member Joined Oct 31, 2018 Posts 1,515 Reaction score 4,379 Apr 8, 2022 #2 Kama umeitwa na huna mchongo mwingine kwa sasa. Wewe nenda tu aisee.