Natumai wazima

kagombe

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2015
Posts
3,624
Reaction score
1,827
Nenda ktk mada husika hivi nimekuja kwako kutafuta spare kama fundi or mteja nikakuambia niana shida na kitu or spare flani ukaniambia unayo nakuuliza mzima unaniambia ndio nakulipa kama ulivyotaka nakwenda ifunga au kuitumia naona inashida nakuuliza unaniambia hapo ni pakurekebisha kidogo.nakurudishia urekebishe lkn ninavyokuja kuchukua nakuuliza mbona naona hakuna sehemu iliguswa unaniambia tayali nafika tatizo naona lilelile.UJUMBE awe fundi or mteja mwambie tu hii spare ina shida kama unaweza kurekebisha nipe pesa ukapambane nayo mwenyewe,sie wengine masuala ya kupangana tunaona ni kupoteza wateja na uaminifu napenda tufanye kazi ya ufundi sio kwa mazoea tufanye kazi kama inavyotakiwa.maana tunapotezeana muda na uaminifu kwa ma custome wetu.mafundi tubadike
 
Uamimifu + Ukweli Unaniweka Sana Mjin

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uamimifu + Ukweli Unaniweka Sana Mjin

Sent using Jamii Forums mobile app
kweli mkuu watu tunafanya na kutumiwa kazi na watu ata atujuani unapiga unamtumia kazi zake hua ukiona mpaka naongea humu kuna mafundi wenzetu wanatuharibia kazi na kutuingiza gharama zingine ile tumlinde mteja.ila huu ujumbe pamoja na kumwambia naona atajua nimechukia lazima ausome humu kwakua akanti hii anaijua.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…