Pangah2011
JF-Expert Member
- Apr 29, 2012
- 260
- 218
Modem ya simu inakaa kwenye soc na hio simu yako ina snapdragon 410 hivyo inatakiwa ishike 4g na si kweli kwamba ikiwa samsung au huawei inakubali.
Cha muhimu download cpu-z toka playstore irun halafu tusomee aina ya soc je ni snapdragon 410? Kama ndio basi kanunue line ya 4g.
Mimi nilisajili bila hata kuwaonyesha simu.
Hiyo hapo
nimeicheki gsmarena haina band 20 ya tigo ina band 40 ya smart.
hapa inamaana huwezi tumia 4g ya tigo ila utaweza ya smart.
ila sd 410 inayo 4g ya tigo ila nahisi kutokana ni simu iliotengenezwa kutumika mazingira ya china wakachaqgua yenye frequency za kichina kama hio band 40 (2300mhz).
cheki na smart naona hata vifurushi siku hizi wamepunguza bei vya 4g.
[emoji15]nimeicheki gsmarena haina band 20 ya tigo ina band 40 ya smart.
hapa inamaana huwezi tumia 4g ya tigo ila utaweza ya smart.
ila sd 410 inayo 4g ya tigo ila nahisi kutokana ni simu iliotengenezwa kutumika mazingira ya china wakachaqgua yenye frequency za kichina kama hio band 40 (2300mhz).
cheki na smart naona hata vifurushi siku hizi wamepunguza bei vya 4g.
band 20 ndio 800mhz lg g3 inayo.[emoji15]
Ina maana tigo inasupport band 20 pekee? Nataka kuchukua LG G3 naona haina band 20
Mimi pia nina Samsung s4 wakaniambia haisupport 4G nikawaambia nipeni laini hivyo hivyo wakanipa and I'm now enjoying the internetTigo kawaida Yao hta mim nina samsung galaxy s5 ina 4G Lakin wananiambia haipo kwenye frequency zao
[emoji109]band 20 ndio 800mhz lg g3 inayo.
unless sio version ya kimataifa