Natokaje hapa

Godoro la kioo

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2025
Posts
436
Reaction score
928
Salam wakuu.

Siku ya Leo nimenunua dekoda ya startime ya antenna nimefika nimeiunganisha imeniletea hivi maana yake nini au ndo kusema dekoda imeharibika

Shida hapa nini
 
Hata waliokuuzia hii antena si tu walikushangaa, bali pia walitabasamu na mioyo yao ilijaa sana maswali.

Kama ungewatazama usoni pindi unanunua, machale yangekucheza.

Ielekezee antena kwa kuizungusha mahali ambapo itapata mawimbi.

Ila mkuu.. au basi.
 
Ko kwamba nimepigwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…