Pure Scientific
JF-Expert Member
- Nov 19, 2015
- 716
- 644
UnanipangiaUza hiyo
Wewe huoni maisha yalivyo kudufua?😂Unanipangia
Upo wapi mkuuWewe huoni maisha yalivyo kudufua?[emoji23]
Nipo uvinza kigoma nachimba chumviUpo wapi mkuu
Daaa mkuu npo darNipo uvinza kigoma nachimba chumvi
Habari nina pikipiki Used ina mwaka mmoja.
Natafuta kijana wa kumpa mkataba Awe ana nipa Elfu 10 kwa siku.
Baada Ya miezi nane nitampa kadi.
Eneo liwe Dar.
Ina mwaka mmoja imetumika tuPikipiki ina muda gani toka umenunua miezi nane ya mkataba ili hali ni used atabaki na pikipiki chakavu
Pikipiki used halafu 10000 kwa siku mkuu mkataba miezi 8?? Si atamaliza huku na yeye imebaki chakavu?.Habari nina pikipiki Used ina mwaka mmoja.
Natafuta kijana wa kumpa mkataba Awe ana nipa Elfu 10 kwa siku.
Baada Ya miezi nane nitampa kadi.
Eneo liwe Dar.
Njoo inbox tuzungumze natafuta sana pikipiki.Habari nina pikipiki Used ina mwaka mmoja.
Natafuta kijana wa kumpa mkataba Awe ana nipa Elfu 10 kwa siku.
Baada Ya miezi nane nitampa kadi.
Eneo liwe Dar.
Nimeshapata mbona na ameshaanza kazi....Pikipiki used halafu 10000 kwa siku mkuu mkataba miezi 8?? Si atamaliza huku na yeye imebaki chakavu?.
Eidha inabidi hesabu iwe 8000 kwa huo mkataba wa miezi 8 au kama ni 10000 upunguze miezi ya mkataba.
Kama utapunguza vigezo hapo juu tuwasiliane nina vijana ambao pia maweza kuwa mdhamini wake akachukua chuma hiyo apige kazi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nipo uvinza kigoma nachimba chumvink