Natoa onyo kali kwa the vavavuu channel

Kibunago

JF-Expert Member
Jan 11, 2008
300
122
Wewe unayetumia vibaya na kipuuzi uhuru wako na pia rasilimali TEHAMA nakupa onyo la mwisho.

Si ujanja kuposti video zako U-Tube kwa jina la Wasanii maarufu mfano Kanumba (RIP), Bukuku, Rose Muhando n.k huku video zako hazina uhusiano na unayoposti ambayo mara nyingi naona ni mihadhara ya Kiislamu ikijaribu kuu (disapprove) Ukristo au niseme imani ya Wakristo leo. Tafuta maahala panapofaa na uandike titles zinazoendana na mihadhara hiyo bila kujificha au kuvuta attention za watu wasiotaka unachotaka kutuonyesha!

Usifikiri kuwa hatuwezi kukupata hata kama inaingia internet cafe au kutumia IP hide mbona tutakufumua dakika moja? Kawaulize wale walioanzisha blogu za ajabu ajabu au watukana watu kwenye mitandao walikamatwaje dio upate majibu ya kitakachokutoa punde. Sina haja ya kukutisha. Get it from me, hakuna social network yeyote duniani ambayo iko 100% confidential kwa WATU WOTE!

Moderators we have got to reprimand such reckless IT users. Mwaweza kuangalia mifano yake hapa:

TheVavavuu - YouTube
 
Majamba Jr. Kweli sijui ana nia gani huyu mtu. Unawaza kuwa una search mf. new hits za 2012 au 2011 za Artist fulani maarufu Tanzania, unakumbana na hiyo midaharo yake, arrrg!!!! In the actual fact haitendei haki dini ya Uislamu let alone Ukristo.
 
Du
Mimi nilikutana na hii kitu jana wakati natafuta latest za S.Kanumba,nikakutana na mdahalo mmoja.
Niliangalia kidogo nikadhani labda aliyepost,ame edit video fulani ya S.Kanumba na kuweka hayo mawaidha,nikaja kugundua kuwa hakuna uhusiano wowote.
Lastly nili dhani,aliye post alikosea na kupost hiyo,kumbe ni makusudi.
Mimi nina video ya Ustadh mmoja anaitwa Ustadh Hajj,kwa sasa ni askofu hapa DSM.Anasimulia mambo ya Uislam na Ushirikina aliokuwa akiufanya mpaka anakuja kukutana na Lusifa,Majini nk
Lakini sidhani kama ni busara kupost kitu kama hiki tena kwa kutumia matukio ambayo nu agent ili nipate watazamaji.
Huyu jamaa atakuwa ni agent wa shetani,ashindwe kwa Jina la Yesu,Ashindwe na Alegee

Namkemea.
 
huyo jamaa au hao jamaa (maana nashindwa kuamini kama ni mmoja) wanachefua sana, kwa sasa huwezi mtu kusearch bongo flava au issue nyingine za kisanii za tz bila kukuta hizo video zake........kwa nini asiandike tu kwa mujibu wa contents zilizomo, kama kuna mtu yupo interested na huo ***** wake atasoma........kuna mijitu mingine kweli haina kazi humu duniani....hovyo kabisa.
 
Kwani hao wahusika hawawez kukamatwa na hawa wanao wachafulia majina mf roz muhando bukuku nk pia kama anaendelea tutume zao mbona 2nazifaham
 
Du
Mimi nilikutana na hii kitu jana wakati natafuta latest za S.Kanumba,nikakutana na mdahalo mmoja.
Niliangalia kidogo nikadhani labda aliyepost,ame edit video fulani ya S.Kanumba na kuweka hayo mawaidha,nikaja kugundua kuwa hakuna uhusiano wowote.
Lastly nili dhani,aliye post alikosea na kupost hiyo,kumbe ni makusudi.
Mimi nina video ya Ustadh mmoja anaitwa Ustadh Hajj,kwa sasa ni askofu hapa DSM.Anasimulia mambo ya Uislam na Ushirikina aliokuwa akiufanya mpaka anakuja kukutana na Lusifa,Majini nk
Lakini sidhani kama ni busara kupost kitu kama hiki tena kwa kutumia matukio ambayo nu agent ili nipate watazamaji.
Huyu jamaa atakuwa ni agent wa shetani,ashindwe kwa Jina la Yesu,Ashindwe na Alegee

Namkemea.
Nadhani hapo ndiyo sehemu ambapo Ukristo na Uislam vinapokinzana...Ninao ndugu waislam kwa hiyo ninajua ninachokisema...! Nuru na Giza hata siku moja haviwezi kuchangamana...!
 
Back
Top Bottom