@Hii iwaendee wale wote wanaohusika na jukumu zito la kuomba mkopo wa masomo katika bodi ya mkopo ya elimu ya juu.
Kwa maombi ya uhakika na zoezi lisilokuwa na mashaka niko hapa kwa ajili ya jukumu hilo ili kutoa msaada kwa ndugu zetu wahusika.
kama wewe ni muhitaji naomba unitafute kwa namba 0673107645
Zoezi`hili naweza kulifanya mahali popote ulipo kwa wakazi wa Dar es salaam
Mkuu unatusaidiajeHii iwaendee wale wote wanaohusika na jukumu zito la kuomba mkopo wa masomo katika bodi ya mkopo ya elimu ya juu.
Kwa maombi ya uhakika na zoezi lisilokuwa na mashaka niko hapa kwa ajili ya jukumu hilo ili kutoa msaada kwa ndugu zetu wahusika.
kama wewe ni muhitaji naomba unitafute kwa namba 0673107645
Zoezi`hili naweza kulifanya mahali popote ulipo kwa wakazi wa Dar es salaam
NdioMkuu kwani HESLB wameshafungua maombi kwa wahitimu wa form six mwaka huu?
Kama umemaliza mwaka huu form 6 acha kama palivyo sio lazimaNinaswali, hv mfano hawa form6 waliomaliza juzi matokeo bado, sehemu ya kujaza matokeo ya kidato cha 6 watajaza nini??? Na kwa mtu ambae labda uwezekano wa kukipata cheti ni mgumu kutokana na madeni shule aliyomqliza anaweza kujaza copy ya result slip au inakaaje??