Gharama za kusafirisha konteina moja kwenye meli kutoka bandari ya dar es salaam kwenda bandari ya Mombasa ni kiasi gani? contena likiwa na mazao kama mahindi, au maharagwe, mashudu au dagaa n.k
swali la pili, meli ikitoka dar inatumia siku ngapi mpaka Mombasa, tatu wewe kufanya huduma zote mpaka conteina litoke bandarin malipo yake ni kias gan.