Wakuu ninafurahi sana kuona mada mbalimbali zimekuwa zikianzishwa hapa jukwaani kuhusu ufugaji wa samaki, hii inaonesha kuwa watu wengi wameanza kuelewa ufugaji huu na wamekuwa interested kwenye kufuga samaki.
Mada nyingi zilizopo humu zimekuwa zikitoa mwanga kuhusu kufuga samaki, lakini nyingi zimekuwa zipo kinadharia tu na hazielezei the real situation within fish farming on the field, main oppotunities and challenges katika mazingira yetu as well as value chain in fish farming.
Hvyo basi nimejitokeza hapa kuwasaidia wote walio serious na ufugaji wa samaki kwani ni biashara nzuri ambayo watu wengi hawajaielewa. Kwa yeyote mwenye kuhtaji anipatie contact zake ili nami nimpatie zangu tuwasiliane vizuri kwa ajili ya kazi hii.
N.B:
Nimehitimu shahada ya kwanza ya uzalishaji viumbe maji ( B.Sc Aquaculture ) kutoka SUA, pia ninahold Advanced Certificate ya Entrepreneurship and Business Planning kutoka MEBTI.
Kwa sasa najishughulisha na consultancy in fish farming and business planning kuhusu kilimo na mifugo.
Naomba kuhamu hicho chuo cha MEBTI napenda nisome hiyo program ya enterpreneurship and Business planning naonba sana kaka
mkuu tunashukuru kwa suala ulilopost,unapatikanaje?mkoa,ofisi,contacts,mimi niko mwanza na nilitaka kuwa nazalisha vifaranga palepale bwawani kwangu,nina bwawa ambalo sio operational kwa sasa,hebu tusaidie tutakupataje
Naomba namba zako mkuu kwa Ushauri zaid na wa haraka endapo nitahitaji
Mkuu tunauhitaji sana utaalam wako. Lakini, usianze kwa kukosoa juhudi walizozifanya wenzako kwa maana watu wengi wamefunguka sana kwa hizo nadharia. Itakuwa vema ukianzia walipoishia wenzako. Nina amini kuna watu wako more experienced in the field na theoretically kuliko wewe. Otherwise, karibu sana tusaidie jamii waweze kuona kugundua na kuitmia fursa ya UKUZAJI VIUMBE KWENYE MAJI (AKWAKACHA/UFUAGJI WA SAMAKI.Wakuu ninafurahi sana kuona mada mbalimbali zimekuwa zikianzishwa hapa jukwaani kuhusu ufugaji wa samaki, hii inaonesha kuwa watu wengi wameanza kuelewa ufugaji huu na wamekuwa interested kwenye kufuga samaki.
Mada nyingi zilizopo humu zimekuwa zikitoa mwanga kuhusu kufuga samaki, lakini nyingi zimekuwa zipo kinadharia tu na hazielezei the real situation within fish farming on the field, main oppotunities and challenges katika mazingira yetu as well as value chain in fish farming.
Hvyo basi nimejitokeza hapa kuwasaidia wote walio serious na ufugaji wa samaki kwani ni biashara nzuri ambayo watu wengi hawajaielewa. Kwa yeyote mwenye kuhtaji anipatie contact zake ili nami nimpatie zangu tuwasiliane vizuri kwa ajili ya kazi hii.
N.B:
Nimehitimu shahada ya kwanza ya uzalishaji viumbe maji ( B.Sc Aquaculture ) kutoka SUA, pia ninahold Advanced Certificate ya Entrepreneurship and Business Planning kutoka MEBTI.
Kwa sasa najishughulisha na consultancy in fish farming and business planning kuhusu kilimo na mifugo.
Unashamba darasa mkuu au?