NATO deploys troops to Poland near Russian border

Je mna silaha za ku over come S-300,S-400 au S-500...Su 35SM Flunker...sizzle missile au MRLS?
Nenda kagoogle StandOff weapons.
Hlf katafute AGM-88 HARM na AGM-154
Kisha kamtafute huyu bwana mdogo AGM-158 JASSM.
 
Nguvu ya warusi ni physics na mathematics....sasa unapolinganisha jeshi lililojaa mashoga na akili ya physics na math sometimes nawaza sana huu mlinganyo
Hehehehe dah we jamaa bana nimecheka kama kichaa
 
Naona Trump akijikosha kuwa sio puppet wa Russia...time will tell
 
Hehehehe dah we jamaa bana nimecheka kama kichaa
ndiyo....kuna watu wana dhani warusi walifika Berlin ya Hitler kwa mapambio...Ile kazi inahitaji kujitoa na akili pevu sie tuwazaga toleo jipya la simu wao inawazaga mi scalar weapon...how to overcome poor AESA radar bila kuonekana... nakadhlika.
 
Kuanguka kwa USA as a super power kumekaribia..
Endapo tu ataingia vitani na mataifa haya mawili .
 
Kimenuka huko russsia ameshafanya yake na anaelekea Poland sasa,NATO wanahangaika
 
Piga hao russia na north korea,huyu trump sio obama waliokua wanamchezea chezea,nyoosha hao vichaa trump
S-300 tu ni kilio kwa nchi za magharibi, sasa Russia amesema anafunga S-400 Air Defence System na soon watakamilisha kuunda S-500, swali, kwanini Marekani na washirika wake mnaowaona ni wababe hawaingii Russia wala kurusha hata risasi moja kama wanavyofanya Syria, Afghanstan, Pakistan, Iraq au Libya?
 
Kazi ipo maandalizi ya kujaribu silaha mpya mbioni kuyaona wakuu
 
ndiyo....kuna watu wana dhani warusi walifika Berlin ya Hitler kwa mapambio...Ile kazi inahitaji kujitoa na akili pevu sie tuwazaga toleo jipya la simu wao inawazaga mi scalar weapon...how to overcome poor AESA radar bila kuonekana... nakadhlika.

Mkuu kwa hiyo na US nae anawaza kama sisi ?..Inamaana hao US wanafanya wasicho kijua kweli ?..
 
Wiki kama mbili mfululizo habari za kimataifa ni Trump na USA, kweli US ni taifa kubwa.........Habari yoyote kwenye chanel yoyote ikitoka bila kutaja US hainogi

Na bila kuitaja North Korea pia hainogi
 
Kumbe wewe ulikuwa umemuacha Mungu ! Mrudie faster.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…