Porojo katika ubora wakeNinyi si huwa mnasema serikali haipaswi na haiwezi kufanya biashara, private sector ndio inafaa ifanye biashara, mbona mnatafuna matapishi yenu?. Hovyo kabisa ninyi, hamjui kitu mnachotaka, mnatapatapa na kujaribu kuiga Tanzania kwa kila tunachofanya.
Serikali yenu ovyo kabisa, angalia ATCL, Bagamoyo, Ukusanyaji wa Kodi TRA, BRT(imekuwa Kama daladala), ona SGR "kwaNinyi si huwa mnasema serikali haipaswi na haiwezi kufanya biashara, private sector ndio inafaa ifanye biashara, mbona mnatafuna matapishi yenu?. Hovyo kabisa ninyi, hamjui kitu mnachotaka, mnatapatapa na kujaribu kuiga Tanzania kwa kila tunachofanya.
Hahaha!!! We jamaa unazingua kweli.Serikali yenu ovyo kabisa, angalia ATCL, Bagamoyo, Ukusanyaji wa Kodi TRA, BRT(imekuwa Kama daladala), ona SGR "kwa
a pesa zetu" na hatuwezi sahau Koroshow na ubadilishanaji wa sarafu.
KQ Ina zaidi ya Ndege 40 ukilinganisha na ATCL iliyo na Ndege 7 bila betri π€π€
Hahaha ,mgonjwa anajaribu kumtibu daktari hapo. Hiyo ni picha gani sasa isiyo na utaratibu?Serikali yenu ovyo kabisa, angalia ATCL, Bagamoyo, Ukusanyaji wa Kodi TRA, BRT(imekuwa Kama daladala), ona SGR "kwa
a pesa zetu" na hatuwezi sahau Koroshow na ubadilishanaji wa sarafu.
KQ Ina zaidi ya Ndege 40 ukilinganisha na ATCL iliyo na Ndege 7 bila betri π€π€
Akili zake kama kuku huyo, unamuuliza amekula nini, yeye anajibu kwamba hana kitabu, " in medical term, the man is disoriented".Hahaha!!! We jamaa unazingua kweli.
Serikali yenu ovyo kabisa, angalia ATCL, Bagamoyo, Ukusanyaji wa Kodi TRA, BRT(imekuwa Kama daladala), ona SGR "kwa
a pesa zetu" na hatuwezi sahau Koroshow na ubadilishanaji wa sarafu.
KQ Ina zaidi ya Ndege 40 ukilinganisha na ATCL iliyo na Ndege 7 bila betri π€π€
We have other private carriers in Kenya.Whaaat, ujamaa in Kenya?
Oh but since then you claimed the KQ to be the national flag carrier whilst it's not a state owned asset.
We have other private carriers in Kenya.
Hii tunaiita Chako changu,matumaini ya mgonjwa π€£ π€£We have other private carriers in Kenya.
Bado hamjaacha kujiliwaza? KQ wame'lease' ndege 20 tu kati ya ndege zao 40. Hizo tatu ni gani tena?Ahaaa haaa haaa
Acha uongo. KQ ina ndege 3 tu. Zingine you hired them from ghost companies. Teh teh teh tihiii you also pay money to the very very same ghost companies.
Acha ukichaa wako, juzi uongozi wa KQ ulitoa maekezo juu ya ndege walizo sub-lease kwa Turkey Airline, walitaja wazi kwambaBado hamjaacha kujiliwaza? KQ wame'lease' ndege 20 tu kati ya ndege zao 40. Hizo tatu ni gani tena?
Yet you and your ilk compare it to ET, SA and not your rusty ATCL. BTW Mumbai mnatua lini juu tayari New York na Uchina tushafika na hizo tatu?Ahaaa haaa haaa
Acha uongo. KQ ina ndege 3 tu. Zingine you hired them from ghost companies. Teh teh teh tihiii you also pay money to the very very same ghost companies.
48% by GOKIf I may ask,
Who owns KQ?
48% by GOKIf I may ask,
Who owns KQ?
[emoji1][emoji1][emoji1] Nimependa hizi tune zinavobadilika ghafla kama kwenye nyimbo za Ohangla.Acha ukichaa wako, juzi uongozi wa KQ ulitoa maekezo juu ya ndege walizo sub-lease kwa Turkey Airline, walitaja wazi kwamba
20 planes wamekidisha
3 planes ni Mali ya KQ
17 planes zipo katika mortgage, bado wanalipa kidogokidogo