National housing

jackderick

Member
Joined
Dec 31, 2012
Posts
29
Reaction score
10
hey wandugu nauliza kwa mwenye taarifa yoyote kuhusu nafasi za kazi zilizotangazwa na NHC watu wmeshaitwa?
 
poleni kwa mliokuwa mnasubiri,kuna mtu nilimsikia akilalamika watoto wa vigogo kupewa nafasi hivi karibuni.kuna watu sita wameajiriwa hivi karibuni and i have a feeling ndio hizo nafasi unless kama kulikuwa au bado kuna nyingine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…