mattargsm
JF-Expert Member
- Apr 12, 2016
- 391
- 150
Matibabu ya kichwa na mimi mwenyewe kwani watu wengi maradhi hayo wanayo dalili zake Nikuumwa na kichwa upande mmoja kichwa kuuma mbele yaani usoni kuuma meno yote kusikia harufu mbaya puani Sababu zake kula nyama ya ng'ombe manukato mboga ya kisambu