Umeshachukua form?Habari zenu watu wa Mungu, mimi ni mwanaume mwenye umri wa miaka 39, ninahitaji mwanamke wa kuoa, nawakaribisha sana wanawake wenye uhitaji wa dhati wa kuolewa.
Wasifu wangu nikama ifuatavyo; -Elimu - degree ninazo -Sijawahi kuishi na mwanamke yeyote katika maisha yangu. - Mrefu kiasi, siyo mweupe siyo mweusi. Nimfanyabiashara.
Mwanamke ninaye mhitaji awe; - Anamcha Mungu wa Isaka,Ibrahimu na Yakobo, anayeigiza kumcha Mungu simhitaji. -Mchapakazi na mvumilivu. -Ajue kusoma na kuandika. - Awe kuanzia miaka 20 mpaka 30. -Single mother big no.
Misingi ya maendeleo ipo tayari, yeye aje kusaidia finishing tu.
Hilo gepu la kawaida sana mkuu.Mkuu unawezaje kuvumilia gap la miaka 19, km akitokea mrembo mwenye 20?
Nataka, nashukuru kwa kuongezea kigezo.Daaah nimeona kigezo cha watangaza nia ajue kusoma na kuandika [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kuhesabu we hutaki ???
HahhahahahhaHabari zenu watu wa Mungu, mimi ni mwanaume mwenye umri wa miaka 39, ninahitaji mwanamke wa kuoa, nawakaribisha sana wanawake wenye uhitaji wa dhati wa kuolewa.
Wasifu wangu nikama ifuatavyo; -Elimu - degree ninazo -Sijawahi kuishi na mwanamke yeyote katika maisha yangu. - Mrefu kiasi, siyo mweupe siyo mweusi. Nimfanyabiashara.
Mwanamke ninaye mhitaji awe; - Anamcha Mungu wa Isaka,Ibrahimu na Yakobo, anayeigiza kumcha Mungu simhitaji. -Mchapakazi na mvumilivu. -Ajue kusoma na kuandika. - Awe kuanzia miaka 20 mpaka 30. -Single mother big no.
Misingi ya maendeleo ipo tayari, yeye aje kusaidia finishing tu.
Mwambie aje na ile ID yake nyingine kwanza
[emoji3][emoji3][emoji3]Eti hutaki single maza, hujui hao ndio wamejaa wenye nia ya kuolewa.
Inaonekana hakuna wanawake humu, mpaka sasa hakuna pm.Haya tangulia PM chaap ukawahi usajili [emoji28] watu tuanze kushona sare