Nathibitisha: TERIOS KID ndio gari inayofaa kwa Dar kulingana na hali ya kiuchumi ilivyo

Kwa hiyo walimu wa serikalini wa Tanzania hawana uwezo wa kumiliki gari lenye cc zaidi ya hizo 650 ulizoweka! Labda unawaongelea walimu waliotoka tu kuajiriwa na wenye Grade A.
 
Hichi si ni kigari chakuchezea watoto.. changanya na hiyo cc 650 ni aibu mwanaume wa kweli kusema unamili T Kid au Pacha wake TOYOTA Cami
 
Gari gani uwapo barabarani kila kitu kinaku-overtake hadi guta; yaani unaoweza kuwa-overtake wewe ni waenda kwa miguu tu! Gari nzito kama unaendesha semi ebo? Ukiwa na safari za Mkoa huendeshi la sivyo uwe unapoza kila Mkoa unalala!
kusema ukweli unapaswa uwe na Gari pamoja na kubana mafuta angalau ikufae kwa safari! angalau MTU uwe na Gari kuanzia CC 1200 hadi CC 1800 itakufaa sana kuliko hivyo vi kirikuu vya cc 650 vya housemaid kwenda gengeni
Loh si kwa majidai haya😂😂😂 ?
 
Hiyo gari niliwahi kupanda ukipita kwenye barabara zenye mashimo utadhani umekalia kigoda. Hainesi hata kidogo. Itasikia mbang' mbang' na ni hatare kwa pingili za uti wa mgongo.
 
Mawazo ya kimaskini yqliyohalalishwa na kuwataka wengine wafanye hivyo pia. Ninavyojua hiyo siyo gari ni mkokoteni wa kwendea sokoni. Hiyo hata Chalinze tu itafika imechemsha na wa huwezi tembea nayo kwa speed ya 80/kph ikabaki salama. Gari yeyote ile nzuri angalau inaanzia CC1500+ lakini gari halisi zinaanzia CC2000.

Gari imetengenezwa ili inywe mafuta, kama unamawazo ya kusave mafuta ujue hijafilia level ya gari unalazimisha tu rudi kwenye pikipiki.
MANENO MENGI SIAJABU HATA BAISKELI HUNA.
ETI GARI IANZIE 2000CC, MIMI NILIKUWA NA CARINA TI TENA NAMBA B, 1500CC NILIKUWA NAENDA MWANZA, GEITA N.K KUTOKA DAR.
MLETA MADAXAMEZUNGUMZIA MIZUNGUKO YA HAPA MJINI SIO SAFARI NDEFU.
DHARA NA UJUAJI WANA-JF TUACHE.
 
MANENO MENGI SIAJABU HATA BAISKELI HUNA.
ETI GARI IANZIE 2000CC, MIMI NILIKUWA NA CARINA TI TENA NAMBA B, 1500CC NILIKUWA NAENDA MWANZA, GEITA N.K KUTOKA DAR.
MLETA MADAXAMEZUNGUMZIA MIZUNGUKO YA HAPA MJINI SIO SAFARI NDEFU.
DHARA NA UJUAJI WANA-JF TUACHE.
Shida unaongea kwenda hata kwa baiskeli unaweza kwenda Geita na Mwanza. Mimi sina gari ee hata baiskeli lakini siwezi kununua Terios Kid labda doli la kuchezea mtoto.
 
Back
Top Bottom