Nathan printing

Kazi Nzuri Mkuu Bei Ikoje Kwa Fulana, Shati, Kofia Nk Leta Mchanganuo wa Gharama
 
Flana ikiwa tayari imeprintiwa kwa bei ya reja reja 15000 kwa moja kwa bei ya jumla 13500 ila unaruhusiwa kuja na flana yako tukakuprintia kwa bei ya ofa ndugu karibu sana
 
Nataka Tshirt na prova uniwekee logo name na picha yangu bei ipoje
 
Wamidosho hizo t -shirt na pulov unazo au nikutafutie mm kama mm hapo nikupe bei
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…