Natengeneza KEKI na KADI ZA Harusi

Lady niece

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2014
Posts
953
Reaction score
414
Habarini

Ninatoa huduma za kutengeneza KEKI mbalimbali kwenye sherehe, shughuli zozote iwe kipaimara, ubarikio, sendoff, Harusi, na Kitchen/Bag party vilevile natengeneza KADI ZA HARUSI, kadi za sherehe mbalimbali kwenye shughuli mbalimbali kama vile Sendoff, Harusi, Kitchenpary Birthday party.

Hivyo usisite kuwasiliana nami kwa huduma hizo kama unahitaji ni PM nami nitakupa contacts zangu na tufanye biashara.

Karibuni
 
Karibuni kwa huduma zangu niko dar
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…