Natengeneza computer za aina zote laptop na desktop software and hardware kwa ujumla.

makanji

Member
Joined
Mar 18, 2014
Posts
18
Reaction score
0
kwa wale wenye kusumbuliwa na computer zao hardware and softwre inshu mm natibu na kama waitaji kutengenezewa website,blog na networking LAN cable iwe ofisi au internet cafe mm nafanya kazi hzo windows inasumbua ktk computer yako window 7,8 au ukiitaj xp karibu napatikana dar-es-salaa banana ukonga kwa mawasiliamnio +255 713-947298 au mlugumi@yahoo.com kwa ushauil pia unaweza nipigia tukasaidioana karibun wote.
 
compt yangu imekata net imeweka alama x sehem ya mnara vp nifanyaje bro?
 
kwa wale wenye kusumbuliwa na computer zao hardware and softwre inshu mm natibu na kama waitaji kutengenezewa website,blog na networking LAN cable iwe ofisi au internet cafe mm nafanya kazi hzo windows inasumbua ktk computer yako window 7,8 au ukiitaj xp karibu napatikana dar-es-salaa banana ukonga kwa mawasiliamnio +255 713-947298 au mlugumi@yahoo.com kwa ushauil pia unaweza nipigia tukasaidioana karibun wote.

PC yangu ina tatizo hili.Ukiiwasha,inawaka fans,na taa ndogo ndogo zile za kwenye buttons na za huku pembeni,lakini screen haiwaki inabaki nyeusi

Nini inaweza kuwa tatizo
 
yaweza kuwa kioo kimehalibika au kuna tatizo ktk motherboard ila yawezekana ikapandisha yn ika desply saf km waweza kuja apa ktk ofc yet banana tuwasiliane 0713-947298 ili tuje tuchek live
 
Back
Top Bottom