ndugu unatengeneza any computer from scratch au una-repair ???
Laptop yangu make-RM(Research Machines)ina tatizo la Motherboard.Ninapoiwasha,taa zina-blink,kisha fan inazunguka kwa sekunde kama 5 kisha kimya.Screen blank,no sound.Unatengeneza?
Kama ndiyo,ntakucheki nxt month.Thanx.
Natengeneza computer za aina zote laptop na desktop matatizo ya motherboard za aina zote natibu sawala la hardware,software,website,blog,businescard napatikana banana ukonga namba ya Simi ni 0713-947298 email mussalugumi@gmail.com
Umejaribu kutroubleshoot imekataa?
Jaribu hii:
-chomoa moto
-toa battery
-bonyeza power button kama unawasha kisha ishikilie hivo muda kama wa sekunde30 kisha achia
-Rudisha moto (bila battery), kisha washa computer yako.
-Ikikubali kuwaka izime, rudisha battery kisha endelea kama kawaida. ikigoma rudisha majibu.
Kuna jukwaa la science and technology, litumieni kwa ajili ya matatizo madogomadogo kama haya, ukishinddwa kabisa ndiyo unapeleka kwa "fundi".