Nategemea kuvuna matikiti maji anayehitaji

unbwogaboy

Member
Joined
Jan 23, 2014
Posts
37
Reaction score
12
Habari yenyu wadau...
Nawafahamisha kwamba ninategemea kuvuna matikiti makubwa kwa madogo mwishoni mwa mwezi huu wa tisa 2014, na yatauzwa kulingana na ukubwa wa tikiti lenyewe.
kwa atakae hitaji au mawasiliano zaidi tafadhari ni pm.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…