Natangaza rasmi!!!

Yaaah utakuwa umefanya vyema! Maana me mwenyewe niko kwenye kamati ya sheria.
Hapo utakuwa umejitendea haki na kuwatendea wengine!



wacha weee,haya bas poa inabidi niweke tangazo mwenye pingamizi ajitokeze!
 
Huwiiiiiii kumbe bado unakaa kwa Baba V?sasa wewe charminglady mimi namtia upofu huyo Baba V iliniwe karibu na wewe!ila chonde chonde naomba nivea asijue ntatolewa roho!
 
Last edited by a moderator:
Huwiiiiiii kumbe bado unakaa kwa Baba V?sasa wewe charminglady mimi namtia upofu huyo Baba V iliniwe karibu na wewe!ila chonde chonde naomba nivea asijue ntatolewa roho!

Huyo nivea muage una kwenda nje ya nchi kusoma for 7 yrs afu unakuja kwangu. Baadae ukimaliza hiyo 7yrs unamwambia unaunganisha tena miaka mingine hatimaye atakuacha mwenyewe afu sisi tunakula bata!!!!!

Karibu KakaKiiza!!!!!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Huyo nivea muage una kwenda nje ya nchi kusoma for 7 yrs afu unakuja kwangu. Baadae ukimaliza hiyo 7yrs unamwambia unaunganisha tena miaka mingine hatimaye atakuacha mwenyewe afu sisi tunakula bata!!!!!

Karibu KakaKiiza!!!!!!!!!
ahahahahaah charminglady my dear hata KakaKiiza anajua ''iam the empire on which sun never set '''' haya basi mimi sina historia yakuachwa katika maisha yangu nikishaona kuna dalili kidogo huwa naacha ili aibu isinifike mie sasa basi kwasababu yuko interested na ladha nyingine haya basi kwanza nampa SABATICAL LEAVE ya 1 year itaisha 1/2/2014.kaa nae then akiridhia kubaki ntampa talaka rasmi ahamie kwako.uke wenza siwezi bora kumi kuliko tisa nenda urudi au bora shari nzima kuliko nusu shari hay basi bibie kazi ni kwako.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…