Evelyn Salt
Platinum Member
- Jan 5, 2012
- 78,865
- 172,560
Sisi wa MBA tupo.. Muda ukifika tupeane taarifaMabibi na Mabwana habarini za asubuhi....
Kutokana na kimya kingi kutawala katika NDOA yangu na C6 sasa natangaza rasmi kukiaga Chama cha TAMU (Tanzania Married Union) Taratibu zote zimekwisha fanyika, kilichokuwa kimebaki ni kuwataarifu wana Chitchat. . . .
Sitopenda kuchumbiwa kwa sasa mpaka hapo nitakapotoa taarifa. Walokuwa wakinimendea endeleeni kukaza kamba huenda kuna siku ntawafikiria.
Wasaalam Single lady a.k.a Miss Chitchat 2012!!!!!!!
Nakala kwa : Baba V
Sio mshika mapembe?
Nilijua tu lazima utoe tamko hili, ila charminglady yule mzungu anakupenda sana....!!!!
sijamuhonga, ila charminglady labda tuandike tamko rasmi la kuachana maana taarifa uliyotoa katika bandiko hili Baba V anadhani kuna majadiliano labda tunataka kunusuru, divorce papers ziko tayari na since hukai kwenye jumba langu tena nadhani iwe official, tamko la pamoja, nimerudi sasa niko hapa kwa wingi, au wewe unaonaje?
Mie nakusubiri wewe C6 tu make naitakaje hiyo talakaaaa......
Evelyn Salt shoga angu.... hebu kuja pande hizi unisaidie kubeba talaka yangi afu moja kwa moja kwa mtashaaaaaaa!!!!!!
Tutakulaje bata na babu wa kizungu!!!!
huyu [MENTION]C6[/MENTION] atajirudisha mwenyewe.....
tumuombee njaa tu
Kweli hivi ndio unavyo mshauri mwezio??Tutakulaje bata na babu wa kizungu!!!!j
huyu [MENTION]C6[/MENTION] atajirudisha mwenyewe.....
tumuombee njaa tu
babu wa kizungu hoyeeeee, kwa C6 ungefubaa tu shoga angu!!!!Afu yule mtasha ni msupuu mazee ngoja nikuje kwa pm... We huoni alivosababisha Fastjet?????
"Bahili hapati mke"Kweli hivi ndio unavyo mshauri mwezio??
Akha sasa hv nakaribia kuingia UCHUNGU.
Chimbuvu sitamuhitaji.
Afadhali muachane na sie wengine tuonekane maana kua nyumba ndogo kumetuchosha!
passion lady kwa nini uwe nyumba ndogo wakati vitabu vingi wasomaji wachache?
sasa vitabu havionekani inabidi tubanane pale vilipopatikana Rutta,au nionyeshe hivyo vitabu pa kuvipata bas!
Aisee kitabu umekaa nacho seat moja,woul you take it passion lady?