Hiyo program iko wapi? Mbona siioni hapa?Habari wanaJF
Napenda kutambulisha kwenu programu ya kukata tiketi ya mabasi mtandaoni ambayo itakuwezesha kupata tiketi ya basi popote ulipo muda wowote.
Tumetengeneza programu hii kusaidia wasafiri kupata basi kirahisi na kumuondolea usumbufu na
gharama zisizo za lazima.
Tungependa kupata maoni yenu juu ya programu hii na nini tukirekebishe ili programu hii iwe
rahisi kutumika kadri iwezekanavyo kabla ya kuanza kutumika rasmi.
Ukiwa na maoni yoyote tafadhali comment au Pm ,Ahsante nawasilisha
Prince J,
Computer Science - Web programmer,
prnctz@gmail.com,
Moshi,Kilimanjaro.
samahani nilisahau kuweka linkHabari wanaJF

nilisahau linkHabari wanaJF

link hii hapa mkuu nilisahauUngeweka link ya hiyo system watu waione kisha ndio watoe maoni mkuu, maoni hayaewezi kuja bila kuona hiyo kitu
nimekwisha weka link mkuuAmetoa taarifa ambayo haijakamilika, halafu kakimbia.
Kwani kwenye yale mabasi ya mwendokasi makonda wanakula wapi, maana watu wachache wanaservice mabasi mengi, usipende kuja na hoja nyepesi nyepesi namna hiyoNikikata mtandaoni nitakuwa na uwezo wa kuchagua seat, kujua kama gari hilo halijaaa? halafu wapiga debe na mawakala watakula wapi mnataka tuvamiwe na kuporwa mchana kweupee
kwa kutumia programu hii unaweza kuchagua basi kuchagua siti na pia kuona kama basi bado siti ngapi lijae, pia hakuna anaependa usumbufu wa wapiga debe pindi uendapo kukata tiketi so nadhani programu hii itasaidia wengiNikikata mtandaoni nitakuwa na uwezo wa kuchagua seat, kujua kama gari hilo halijaaa? halafu wapiga debe na mawakala watakula wapi mnataka tuvamiwe na kuporwa mchana kweupee