Natamani "Wachina" wangegundua..

SI unit

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2012
Posts
1,953
Reaction score
767
Uaminifu kwenye mahusiano ya kimapenzi siku hizi ni mdogo sana. Natamani "Wachina" wangegundua dawa ya kuweka kwenye samsingi ya patna wako, akibetray unagundua!
 
rahisiii sanaa zamani babuu yangu alinifundishaa,kwa wao walikuwa wakitaka kujuaa bibii ka duu njee...akirudi jioni alipo tokaa bibii ana mpaa ugorooo then bibi anakuwaa uchii,akipigaa chafiaa lazimaa kama alitoka kugonokaa lazimaa kulee chini kutokee ulee uchafu.
 
Uaminifu kwenye mahusiano ya kimapenzi siku hizi ni mdogo sana. Natamani "Wachina" wangegundua dawa ya kuweka kwenye samsingi ya patna wako, akibetray unagundua!

samsingi ipi wakati siku hizi kitu ni two in one......
 
yelewiiiiiii

mnataka kutoana roho kwa bei chee hivi?
 
samsingi ipi wakati siku hizi kitu ni two in one......
.
Enyi kizazi cha nyoka! Imeandikwa kwenye andiko gan la kuran au baibo kupiga two in one? Allah awananusuru na moto wa jehanam mnaouwasha!
 
Dawa za kugundua kuwa mpenzi wako anakusaliti zipo ila zile za asili. Kama unahitaji niandikie Private Message nitakujulisha wapi zinapopatikana.
 
Natamani mchina angegundua njia rahisi ya kudesa kwenye pepaz
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…