Natamani tanzania ingekuwa daladala nishuke

Natamani tanzania ingekuwa daladala nishuke

KOLOKOLONI

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2014
Posts
2,476
Reaction score
2,372
Usiniulize kwanini ila angalia sheria za nchi zinavyoonewa haya.
 
Kwanini usitamani kugeuka nzi maisha yako yawe chooni tu?
 
Unaweza kuondoka tu ndugu! Kumbuka kuna Watanzania wengi tu wameondoka, hawajaondoka kirahisi kama kushuka kwenye daladala.
Kwanini usitamani kugeuka nzi maisha yako yawe chooni tu?

Je nzi wote wanakaa chooni?
 
Mie ningeshka na wala nisingelipa nauli
 
Maana hata kama unataka kuondoka anza na rushwa sina sasa nitaondokaje.ndiyo maana nikasema natamani tanzania ingekuwa daladala ningeshuka
 
Hii itakuwa daladala ya unga limited Arusha ukishuka tu, umeliwa...
 
Back
Top Bottom