Natamani niwe mwanaharakati huru naona hii ndio njia pekee ya kunitoa usawa huu.

Crocodiletooth

JF-Expert Member
Oct 28, 2012
18,713
21,067
Namuona nanilii anatwanga tu bia,na vimwana warembo kweli,wala haoni kuna ugumu wa maisha,naona ndio karata yangu iliyobakia ili nami nifaidi keki ya taifa kama wengine,yaani kuongea na kutoa slogan "NASHIBA NA KUNYWA.
Upande wa nyimbo naona wengi wamesha kaba huu upande wa kina nanilii nikiongezeka sioni ubaya kabisa.
Tena naanza mapema:-
"TUNAKUOMBA TUNDU LISSU MARA URUDIPO UWE MZALENDO KWA TAIFA LAKO,ILI TUWE NA TANZANIA YENYE UMOJA TENA UMOJA WA KITAIFA"
 
Hivi mnalipwa kila mkiibua skendo feki au?ila Jamaa amepata mke zezeta! mm ningemfurusha mapema sana..sipend kbs mume asiye na akili..yaan mapema sana!
kipato ni kipato tu.kuongea tu kupata fwedha /how simple is it?#manengelo, hata mpiga dili anafanya kazi ngumu kuliko hii.
 
I like :p kumbe kuna watu wanao fahamiana hapa jukwaani,thats so good,wengine hapa ni shida sithubutu kumpa mtu id yangu,sasa hata mtu ukifa thats mean it will be no infos / wat surround were deep silence so horrible.

Simfahamu naye hanifahamu mkuu...jus greatings!kuna uzi wke ulifanya nikamwelewa zaidi!...mie napenda kutana n watu wazima vitoto hapana kwakwel
 
Back
Top Bottom