Chadema 2030 JF-Expert Member Joined May 5, 2025 Posts 1,920 Reaction score 3,753 Apr 14, 2026 #1 Nimeota jana ndoto Tanzania wameshinda Afcon. Mechi hiyo ya fainali ilikuwa Morocco vs Tanzania. Tanzania walinyakua ubingwaa baada ya kuifunga Morocco 3-1. Nataman hii ndoto itimie mwaka ujao. Jamani Tanzania itambulike kimataifa.
Nimeota jana ndoto Tanzania wameshinda Afcon. Mechi hiyo ya fainali ilikuwa Morocco vs Tanzania. Tanzania walinyakua ubingwaa baada ya kuifunga Morocco 3-1. Nataman hii ndoto itimie mwaka ujao. Jamani Tanzania itambulike kimataifa.
min -me JF-Expert Member Joined Jul 20, 2022 Posts 58,066 Reaction score 166,602 Apr 14, 2026 #2 Amka utajikojolea
Marcostilone JF-Expert Member Joined Jun 25, 2023 Posts 6,753 Reaction score 16,861 Apr 14, 2026 #3 Labda Morocco ya pale Namanga.
AXIOM APEX VERBOSE JF-Expert Member Joined Sep 12, 2022 Posts 12,233 Reaction score 20,533 Apr 14, 2026 #4 Nakuchukia sana said: Nimeota jana ndoto Tanzania wameshinda Afcon. Click to expand... Goku umebadirisha ID ila avatar umeiacha hahaha
Nakuchukia sana said: Nimeota jana ndoto Tanzania wameshinda Afcon. Click to expand... Goku umebadirisha ID ila avatar umeiacha hahaha
ShesRise_1 JF-Expert Member Joined Aug 21, 2025 Posts 17,748 Reaction score 42,217 Apr 14, 2026 #5 Endelea kumchukia sana maana anakudanganya mchana kweupe
AXIOM APEX VERBOSE JF-Expert Member Joined Sep 12, 2022 Posts 12,233 Reaction score 20,533 Apr 14, 2026 #6 Nakuchukia sana said: Mechi hiyo ya fainali ilikuwa Morocco vs Tanzania. Tanzania walinyakua ubingwaa baada ya kuifunga Morocco 3-1. Click to expand... Labda Morocco ya Kinondoni
Nakuchukia sana said: Mechi hiyo ya fainali ilikuwa Morocco vs Tanzania. Tanzania walinyakua ubingwaa baada ya kuifunga Morocco 3-1. Click to expand... Labda Morocco ya Kinondoni
Chadema 2030 JF-Expert Member Joined May 5, 2025 Posts 1,920 Reaction score 3,753 Apr 14, 2026 Thread starter #7 Mbn haimpend taif lenu
DR SANTOS JF-Expert Member Joined Mar 11, 2019 Posts 14,232 Reaction score 32,053 Apr 14, 2026 #8 min -me said: Amka utajikojolea Click to expand... Nimecheka😀😀 thats impossible
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 175,907 Reaction score 193,931 Apr 14, 2026 #9 Muda huongea... Cc: Mahondaw