Natamani kuwa Mzee

Usiku wote huu unawaza ugumu wa maisha vp kulikoni? Au mama watoto kakunyima sababu leo jiko halikuwaka? au huna hela ya kununua mkate kwa ajili ya watoto kesho mkuu. Haya yote maisha tu, hata ukizeeka yataendelea kuwa magumu tu. angalia lakini usijitundike au kunywa sumu.
 
Mkuu ngoja matatizo yazidi utazeeka tuu, kua tu na subira
 
Kwa jinsi Hali ya maisha ilivyo ngumu kwa kweli natamani ningekuwa Mzee tu maana ujana unachangamoto nyingi Sana na zimenielemea kwelikweli
Badala utamani kufa!!
Uzee si ndo shida zaid sasa! Maana kwa ufukala huo ulionao utakosa hata mtu Wa kukutawaza!
Ndo maana tunawashaur mkiwa vijana tafteni pesa kwa nguvu zote na muweke akiba zitawasaidia uzeeni kuwalipa mishahara ya house boy kwa ajili ya kuwasafisha na kuwalisha
Ogopa kuzeeka fukara!
 
Watu tungekua tuki tamka tu Inaumbika,,, Naamini dakika 05 baada ya kuandika huu uzi, ungekuja na uzi mwingine kulalamika kwa nn uko mzee..!! Na ingekua too late brooo...!!
 
mim nilidhan unataman uwe mtoto nikuambie haiwezekani kumbe unata uzee usijali utakuwa tu
 

Mbaya hiyo mzee baba.,,, Mungu akikuomba figo yake utampa nini..?
Namwambia nisamehe bure baba, ulinipa kichwa na akili timamu nikashndwa kuzitumia ipasavyo, shida za dunia zikanizonga ikabidi nitumie figo sasa badala ya akili!
Hapo vip mkuu atanisamehe!!??
 
Kwa tatizo nini,..,, Kama mkuyange mbona mzee kamzalisha kbsa..!! Age is only a number Mkuu.
Mkuu pale Msimbazi centre kuna kambi ya wazee mbona hawaoi kama age is just a number mkono mtupu haulambwi
 
Namwambia nisamehe bure baba, ulinipa kichwa na akili timamu nikashndwa kuzitumia ipasavyo, shida za dunia zikanizonga ikabidi nitumie figo sasa badala ya akili!
Hapo vip mkuu atanisamehe!!??


Umebakisha miaka mingapi ufike iyo 55...??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…