Mkuu inaonesha huna kwenye hii dunia ya kisasa. Nyie ndio wale wanaosema ili mtu asome PCM au EGM au PGM basi lazima awe na A au C ya basic maths!
Dunia imebadilika mzee acha kuwa primitive! Kuna watu wana hizo F za hesabu na leo ni mainjinia wakubwa kwenye hili taifa! Sasa jiulize hako ka IT kako na engineering ni kipi kina hesabu?! Ukipata jibu badili mentallity yako!
NB: kuna chuo kimoja kiko canada kinachukua mpaka watu waliosoma sociology katika degree za data science na ML na wanasoma wanamaliza! Sasa ML na IT ni kipi kina hesabu?